Swali
Shahidi ni mtu ambaye aliona uhalifu au alikuwa mwathirika wa uhalifu. Shahidi anaweza kuitwa (kuamriwa kuhudhuria mahakamani) .Mashahidi wanaitwa mahakamani kujibu maswali kuhusu kesi. habari shahidi ...

Swali
Inaeleza kuwa hakuna mtu yeyote ambaye atakamatwa atawekwa kizuizini bila kujulishwa, haraka iwezekanavyo, kwa sababu za kukamatwa huko wala hatanyimwa haki ya kushauriana, na kutetewa ...