Mwanafunzi wa China atumia $20,000 kufika darasani kutokana na marufuku ya kusafiri kwa Coronavirus nchini Australia
Karen Ji ni mwanafunzi wa Kichina anayesomea sheria na biashara huko Sydney, Australia. Wakati serikali ya Australia ilitangaza kupiga marufuku kusafiri kutoka China bara, Ilibidi Karen aamue ni nini cha kukosa mwanzoni mwa chuo kikuu, au gharama ...
endelea kusoma